On your marks, get ready, GO!!! Magari yako standby.
MASHINDANO YA MAGARI KUWANIA UBINGWA WA MWAKA 2009 Dar es Salaam,Mashindano ya magari ambayo yamezishirikisha nchi za Afrika Kusini, Tanzania,Uganda ,Rwanda.Burundi ,Visiwa Vya Comoro, Kenya na Zambia yameanza kutimua vumbi leo katika Viwanja vya Mlimani City Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment