
Wanenguaji wa bendi ya Diamond Musica wakionyesha umahiri wao wakati wa onyesho lao la kila Ijumaa katika Ukumbi wa Mango Garden,kutoka kulia, Baby Omary, Fasha John, Lili Six , Baby Tall na Mwaasukana Janeth Coster.

Mnenguaji wa bendi ya Diamond Sound Lili Sex akifanya vitu vyake ,katika uwanja wa Mango Garden.

River Hassani akiimba huku akisindikizwa na wanenguajiwake, Baby Omary na Fasha Joshua

Mpiga solo guitar wa Diamond Sound Chili Charas akifanya vitu vyake

River Hassani akiimba.

Waimbaji wa bendi hiyo wakisakata mayenu Mpus Mwafote,River Hassani,na Kantona Mgongowamizizzni.
4 comments:
wanaharakati wa kutetea haki za wanawake mbona hawapigi kelele huku kudhalilishwa kwa wanawake kwa kuwekwa uchi na wanaume kuvaa smart? au haki za wanawake ni katika kupata vyeo na madaraka tu? ilistahiki hapa nyinyi kina tamwa tamla na tgnp mutoa tamko kali la kulaani vitendo hivi vya wanawake kuwekwa uchi hadharani.
una natatizo wewe anon 9.05am kama hii unaiita uchi basi kafilie mbali. ulitakiwa uzaliwe saudia ili upate haki ya kutokuwa uchi. nafikiri hili swala la haki za wanawake linachukuliwa vibaya haswa kwa wanawale ambao hawaja soma kama huyu anon 9:05 inatakiwa kama wanawake mngepigania nafasi katika jamii bila ya upendeleo. yani kama ni kuwa mbunge basi ungombanie mwenyewe na sio viti maalum. Mamba haya baadaye yatakuwa cancer katika jamii.
wewe dada hapo juu anon 9:05am nenda kaendeshe magari kama wadada wa sauzi wacha kuangalia every opportunity ati wanawake wanaonewa (you sound like a donkey ass lawyer or something). unatakiwa uwapewa wanawake wenzako motisha na sio kutafuta vijisababu sababu. sasa wewe ukija huku marekani si utashikwa na kichaa kama unasema hao wadada wako uchi. Please stop bullshiting.
mbona hizi picha sio mbaya kama huyo dada anavyosema, atakuwa mshamba amaulitaka wavae baibui kisha wacheze dansi.
Post a Comment