
Wasanii wa kikundi cha sanaa ya ngoma za asili cha Simba Culture up Center cha jijini Dar es Salaam, Fatuma Mohamed, Rachel Nelson na Johari Hamisi wakitumbuiza katika sherehe za ufunguzi wa mbio za magari zilizofanyika Mlimani City jana jioni.

Fatuma Mohamed na Rachel Nelson wakionyesha umahiri wao wa kunengua viuno katika sherehe ya uzinduzi wa magari ,ambapo bendi ya Simba culture na bendi ya Varda Arts walionyesha vitu vyao.

Wapiga ngoma wakitoa burudani.

Jinsi umati watu watu ulivyokusanyika kuangalia uzinduzi huwo.
No comments:
Post a Comment