Wanachama wa chama cha Cuf wakiwa katika mkutano mkuu wa chama hicho wakati wa uchaguzi wa viongozi wakuu,katika ukumbi wa Diamond Jubilee.
Wawakilishi kutoa mikoa mbali mbali ya Tanzania.Prof Ibrahim Lipumba mwenyekiti wa CUF anayetetea nafasi yake katika uchaguzi huu wakitaifa.
Maalim Seif Hamad Katibu Mkuu wa chama cha CUF.
Mmoja wa wagombea nafasi ya uenyekiti wa Cuf Taifa, Prof. Abdallar Jumbe Safari 57. mwenye kadi no TA15823 akinadi sera zake kabla ya kura kupigwa. Prof Safari ana elimu ya Phd ya sheria. Hata hivyo wanachama walikuwa na mashaka na mgombea huyu, kuna wengine walisema pingine ametumwa na CCM. Shaka hii ilikuja pale alipoulizwa swali ambalo alishindwa kujibu, aliulizwa kama anamjua katibu wa tawi lake la chama, alijibu kuwa ni wanamke ila kwa jina hamjui.
1 comment:
Helpful blog, bookmarked the website with hopes to read more!
Post a Comment