Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

February 25, 2009

UCHAGUZI WA KITAIFA WA CUF 2009

Wanachama wa chama cha Cuf wakiwa katika mkutano mkuu wa chama hicho wakati wa uchaguzi wa viongozi wakuu,katika ukumbi wa Diamond Jubilee.

Wawakilishi kutoa mikoa mbali mbali ya Tanzania.Prof Ibrahim Lipumba mwenyekiti wa CUF anayetetea nafasi yake katika uchaguzi huu wakitaifa.

Maalim Seif Hamad Katibu Mkuu wa chama cha CUF.

Mmoja wa wagombea nafasi ya uenyekiti wa Cuf Taifa, Prof. Abdallar Jumbe Safari 57. mwenye kadi no TA15823 akinadi sera zake kabla ya kura kupigwa. Prof Safari ana elimu ya Phd ya sheria. Hata hivyo wanachama walikuwa na mashaka na mgombea huyu, kuna wengine walisema pingine ametumwa na CCM. Shaka hii ilikuja pale alipoulizwa swali ambalo alishindwa kujibu, aliulizwa kama anamjua katibu wa tawi lake la chama, alijibu kuwa ni wanamke ila kwa jina hamjui.

Ibrahim Lipumba akiingia katika chumba cha mkutano kunadi serazake, Lipumba anumri wa miaka 56,na elimu yake ni ya chuo kikuu Phd ya uchumi.

Mh. Coporal Stephen Masanja akinadi sera zake za kuomba kura ya kuwa mwenyekiti wa taifa kupitia chama cha CUF, yeye anaumri wa miaka 49 elimu yake kidato cha 4.

1 comment:

Anonymous said...

Helpful blog, bookmarked the website with hopes to read more!