Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

December 24, 2008

DANSI YA TWISTI

Baadhi ya waliohudhulia katika sherehe ya send off ya Rupia Simon Rupia, wakiserebuka kwa Twisti katika ukumbi wa Diamond hivi karibuni, tunawatakia juhudi njema kwa kutukumbusha miziki ya zamani.