Baadhi ya wasanii wa kikundi cha umoja wa vijana kutoka katika kanisa katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay Dar es Salaam, wakiigiza igizo la kuzaliwa Bwana Yesu Kristo. Vijana hawa ambao zamani walikuwa wakiunda kundi la maigizo ambalo lilikuwa likiongozwa na Jegua walifanikiwa kuziteka nyoyo za waumini waliohudhulia ibada ya mkesha katika kanisa hilo.
No comments:
Post a Comment