Kiongozi wa bendi ya Watoto wa Tembo, Ndanda Kosovo 'kichaa' (katikati) akishambulia jukwaa sambamba na wanamuziki wake wakati wa onyesho lao kwenye Ukumbi wa Makumbusho Dar es salaam jana.
Wanenguaji wa bendi ya Akudo Impact, wakishambulia jukwaa wakati wa onyesho lao lililofanyika ukumbi wa Mango Garden Kinondoni wakati wa mkesha wa sikukuu ya Krismas.
No comments:
Post a Comment