Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

December 24, 2008

CHAPA NG'OMBE MSUKUMA HALISI ATUMA SALAAM ZA XMAS

Mdau mpya wa blog hii bw. Uledi Hamisi Ng'wanzalima anatuma salaam za Krismasi kwa Pwani Raha na wadua wote, anaitakia kila la kheri blog katika shughuli zake. Tumekupata Msukuma halisi na sisi pia tunakutakia krismasi jema.

No comments: