Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

December 24, 2008

SALAAM ZA XMAS KUTOKA BAGAMOYO

Firoz Hidayat kutoka (Bwagamoyo usahau utokako) anatuma salaam zake za Krismasi na kheri ya mwaka mpya kwa blog ya Pwani Raha na wadau wake wote. Pwani Raha pia inakutakia kila la kheri katika shughulia zako katika pwani hiyo ya Bagamoyo.

No comments: