Mwadhama Cardinal Polycap Pengo, ambaye ni Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, amekemea vikali malezi ya watoto wakati wa sikuu ya Familia Takatifu ambayo ni maalum kwa watoto wa dhehebu hilo maalufu ka Utoto. Ibada ilifanya katika Parokia ya Pugu nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Akizungumza katika mahubiri yake alisema wazazi wanapashwa kutoa malezi kwa watoto wote hata wale wa jirani zao. Pia alisema kuwa sikuhizi kumekuwa na mauaji ya watu wenye ugonjwa wa ngozi yaani Albino alisema hayo yote yanafanywa na watu kama sisi akitoa mfano, alisema kuwa watu hawo wanaowaua maalbino walikuwa watoto kama nyie hapa lakini sasa wamekuwa majambazi na wauaji.
December 30, 2008

Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment