Mmkaazi mmoja wa Dar es salaam akiwa ameshuka katika kituo cha mabaasi ya mikoani cha Ubungo akitokea Mkoani Iringa leo huku akiwa na kuku. Mama huyu alipoulizwa kama anamuuza kuku huyo, alijibu kuwa pindi tu atakapouona mwaka mpya atamfanya kitoweo.
December 30, 2008
YALIYOJIRI DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
















No comments:
Post a Comment