Mkufunzi kutoka Mradi wa ‘CHAMPION’, unaofadhiliwa na Shirika la Misaada ya Maendeleo la Watu wa Marekani USAID, chini ya Shirika lisilo la Kiserikali EngenderHealth, Sara Teri , akiendesha mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu maambukizi ya Ukimwi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria Semina hiyo.
Mwandishi na Mtangazaji mwandamizi wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, Salum Mwalim, akichangia mada wakati wa Semina ya kuwajengea uwezo wanahabari juu ya masula ya Ukimwi na Afya ya uzazi.
2 comments:
nimempenda huyu dada anaye conduct seminar hapo..she is hotty,nice looking and good egonomy
hata mimi. naomba namba yake mwenye nayo.
Post a Comment