Kushoto ni mkuu wa Uhusiano wa Vodacom Mwamvita Makamba akipiga makofi wakati kampuni yake ilipotoa msaada wa Komputa 20 katika shule za sekondali Mtama katika Mkoa wa Lindi hivi karibuni kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi.Vodacom wamekuwa wakiweka kipaumbele katika masilahi ya watanzania na kufanikiwa kuwa kampuni ya kwanza yenye wateja wengi. Pia kampuni ya Vodacom imeweka mawasiliano ya hali ya juu kwa wageni waliohudhuria katika Mkutoano wa Kiuuchumi wa Dunia kuhusu bara la Afrika( World Economic Forum of Africa-WEF ) unaofanyika katika ukumbi wa mliamani city jijini Dar es salaam kwa kuzishirikisha nchi 85 na wageni 959, picha nyine zikionyesha nembo za vodacom zilivyo pamba mkutano huo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment