Mmoja wa wanachama wa klabu ya Simba ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja akiwa amekaa juu ya kiti huku akionekana kuchokamkwa mawazo nauchovu wakati wakisubilia kupiga kura za kutafuta viongozi wataoongoza klabu hiyo uchanguzi huo ulifanyika jana kuanzia asubuhi ya saa 3 hadi usiku wa saa5 jumla ya wajumbe sita waliteuliwa kuwa wajumbe wa klabu hiyo na nafasi ya Urais ilitwaliwa na Adan Rage baada ya kumshinda kwa kishindo mgombea mwenzake Hassanoo , na nafasi ya Makamu wa Rais ilichukuliwa na Gofrey Kabouru.
May 10, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment