Wachezaji wa timu ya Magic FM wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo waona timu ya NBC mchezo huo ulimalizika kwa timu ya Magic fm walifungwa mabao 4 -0.
Timu ya Serengeti brewaries wakiongozwa na Mhogo Mchungu aliyekuwa kocha wao.
Mmoja wa wachezaji watimu ya Vodacom Star Joseph akipambana na mfanykazi wa NBC katika Bonanza lililofanyika katika viwanja vya Sayansi Kijitonyama.
Mwigizaji wa siku nyingi akiwa hana la kufanya wakati timu yake ilipokuwa akicheza na timu ya PSI na kufungwa kwa magoli 3-0.
Moja ya huduma zilizokuwa zikitolewa katika viwanja vya Sayansi ikiwa ni pamoja na vodacom kutoa huduma za kusajirisimu zao.
No comments:
Post a Comment