Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

April 5, 2010

Manywele Entertainment Yaandaa Shindano.

Mkurugenzi wa kampuni ya Manywele Entertainment Maimatha akitangaza shindano la Kiduku litakalo shirikisha vikundi saba ambavyo vitashindana katika ukumbi wa Traveltain Magomeni jumapili. Mshindi wa kwanza atapata zawadi ya dola za kimarekani 250.

Baadhi ya wasanii wa kundi mojawapo la vidoleki liktakalo shiriki katika shindano hilo la Kiduku wakionyesha umahiri wao jana wakati wonyesho Jahazi modern taarab.

Wasanii wa kundi la Kidoleki Omary Kanondo kulia na Dogo Jefu wakionyesha umahili wao wa kucheza kiduku katika hoteli ya Traveintan Magomeni jana usiku.

Mashabiki wa Jahazi wakilamba lamba jana ikiwa nisehemu ya kusherehekea sikukuu ya pasaka.

No comments: