Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

April 10, 2010

Mambo ya Kitchen Party.

Wanakamati wakimpongeza wifi wa bibi harusi mrs Msuya wakati wa sherehe hiyo ya kitchen part iliyofanyika katika ukumbi wa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam.


Bibi harusi Rahma Hamis Msuya akiwa katika pozi lake la maringo wakati wa sherehe.


Mweneyikiti wa maandalizi ya sherehe ya Kitchen Prty ya Bi Ashura Hamisi Mrs& Mrs Hadija Massawa katika na katibu wake Mrs Hussein Kinduu (kushoto) wakimkabizi baadhi ya zawadi ya wanakamati ya jiko la gesi ambalo lilikuwa na thamani ya shilingi 20000 likiwa na gesi yake ambayo haikuletwa ukumbini kutokana na swala la usafili. jumala ya shilingi milioni moja na nusu zilitumika kwa kumnunulia zawadi bibi harusi huyo.

Mziki kwa sana hapa ni utammuuu utamuuuu tu kwenda kwa mbele.

Bi Rahma ,aka Ashura Msuya akigawa zawadi kwa wanakamati ambao walimsaidia kufanikisha sherehe ya kictenpart yake iliyofanyika katika ukumbi wa mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Jamanai aksanteni kwa kuniunga mkono bpasipo nyinyi nisingeweza kitu ndoa maneno aliyokuwa akiwaambia baadhi ya wanakamati waliomchangia katika shughuli yake, huyo si mwingine ni Rahma Msuya akiwa na kikapu cha chujio.









2 comments:

Anonymous said...

HABARI WEKA EMAIL YAKO MAANA HUWA KUNA HABARI NYINGI TU HUWA TUNATAKA KUKUTUMIA LKN HATUNA CONTACH ZAKO NIJIBU KWA KUTUMIA mdurban1@yahoo.com
mdau Algiers

pwaniraha said...

Ahsante kwa kutukumbusha hilo ndugu, tunashukuru sana email yate ni pwaniraha@gmail.com