Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

April 9, 2010

Kikwete Awataka CCM Kuhakikisha Wanashinda.

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mmoja wa wanachama wa ccm wakati alipowasili katika uzinduzi wa semina ya chama cha ccm iliyoandaliwa maalum kwa kujiandaa na uchaguzi ujao.

Baadhi ya akina mama wanafanyabiashara ya ngua zenye alama ya ccm wakisubili wateja katika eneo la mlimani city ambapo semina ya wanachama hicho ilikuwa ikiendelea jioni ya leo watazindua kampeni ya kuchangisha pesa kwa njia ya sms ili kuweza kupata pesa kwa ajiri ya maandalizi ya kampeni za uchaguzi mkuu ujao mwezi wa kumi mwaka huu,

Baadhi ya wanachama cha CCM wakibadilishana mawazo wakati wa mapuziko wapili kutoka kushoto ni Endrew Chenge MZEE WA VIJISENTI, aliyekaa katikati akichezea simu ni Rostam Azizi Mbunge wa Igunga Tabora wakiwa na wenzao.

Aliyekuwa Katibu wa Umoja waMataifa Africa Ahamed Salim akiteta jamba na Waziri Mkuu Mstafuu Edward Lowasa kabla ya kuanza kwa semina ya wanachama wa CCM, ambayo iliku na lengo la kujiandaa na uchaguzi ujao.

No comments: