Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

April 6, 2010

Harusi Ya Bi Ashura Hamisi Na Miraji Ilivyofana.

Wakiwa na nyuso za furaha si wengine ni bwana harusi Miraji Juma na bibi harusi Ashura Msuya wakiwa katikampozi baada ya kufunga ndoa iliyofungiw nyumbani kwao na bibi harusi Temeke Mikoroshini jijini Dar es Salaam.

Mpambe wa bwana harusi akimpongeza bibi harusi Ashura Msuya mara baada ya kumalizika kwa kufunga ndoa hiyo.

Wifi wa bibi harusi ambaye ni mke wa kaka yake (katikati) Mwanaharuni Msuya akimpongeza bibi harusi baada ya kumalizika kwa kufunga ndoa iliyofanyika siku ya Ijumaa tarehe 3 mwezi huunyumbani kwao na bibi harusi na sherehe ilifanyika siku ya Jumamosi katika ukumbi wa PR uliopo maeneo ya uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Bwana na bibi harusi Miraji Juma na mke wake bi Ashura Hamisi Msuya wakipongezana kwa kufunga ndoa huku wapambe wao wakiwaangalia kwa furaha.

Kaka wa bibi harusi bwana Msuya Hamisi kushoto akimwoza dada yake Ashura Hamisi kwa bwana harusi Miraji Juma katika Ndoa iliyofanyika nyumbani kwake Temeke Mikoroshini.

No comments: