Mshambuluaji hatari wa taifa stars Mussa Hassan Mgosi akijaribu kuwatoka walinzi wa timu ya taifa ya sosmalia kabla yanbkufunga goli la nne.
Wachezaji wa Somalia wakiwa wamejiangusha wenye wawili kama unavyowaona pichani baada ya kupata kipigo cha paka mwizi cha mabao 6 kutoka kwa watoto wa Maximo
Meneja wa Uhusiano wa Seregeti Teddy Mapunda (kushoto) akiwa na Katibu mkuu wa TFF Fredrick Mwakalebela wakifuatilia mpambano wa Taifa stara na somalia ambapo watoto wa chui yaani serengeti waliilarula timu ya Somalia wazee wa kuteka meli 6-0.
Mmoja wa wakereketwa wa mpira nchini Masawe akiteta jambao na katibu mkuu wa tff Fredrick mwakalebale huku akijiburudisha na lambalamba ya Azam.
Mshambuliaji wa taifa star John Boko akijalibu kufunga goli.
1 comment:
huaraches
bape hoodie
jordans
ultra boost
kd shoes
supreme hoodie
nike air max
hogan outlet
christian louboutin outlet
jordan shoes
Post a Comment