Baadhi ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya kichen part ya Rahma Msuya Hamisi wa Sadani Temeke Mikoroshini anaye tegemea kufanya kitchen part siku ya Alhamisi katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa uliopo Ilala Dar es Salaam, wakiwa katika vikao vyamwisho eneo la nyumbani kwa bibi harus mtarajiwa.
Bibi harusi mtarajiwa Rahma Msuya akiwa katika pozi nyumbani kwao sadani temeke ,bibi harusi huyo anategemea kufanyiwa Kitchen Party siku ya Alhamisi katika ukumbi wa Mkuu wa Mkuoa wa Dar es Salaam.ndugu jamaa na marafiki mnaomba kumwombea nduguyetu ili sherehe yake iweza kuwa ya baraka na neema tele mungu awabariki nyote kwa maombezi mema.
No comments:
Post a Comment