Mwenyekiti wa chama cha wapiga picha nchini ,Press Photographers of Tanzania (PPAT) Mwanzo Milinga.
Makamu Mwenyekiti wa chama cha Wapiga Picha za Habari Nchini John Badi
Katibu msaidizi wake anaitwa Joseph Mpagala kwa bahati mbaya picha yake haipo kutokana na kuwahikuondoka kwenda kwenye majukumu ya kijamii tutaiweka punde tu.
Mtunza Fedha wa chama cha wapiga picha nchini Tanzania PRESS PHOTGRAPHERS OF TANZANIA Leah Samike.
Mtunza Fedha Msaidi wa chama cha wapiga picha nchini Mwanakombo Juma.
No comments:
Post a Comment