Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

February 11, 2010

Mambo Yakianza Kwenda Mrama Kwa Wanandoa

Hapa ukitaka tunda lazima uruke juu ya fence, ushirikiano ni sufuri kabisa. Hii hutokea kuanzia miaka mitano ya ndoa na kuendelea.