Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

February 7, 2010

Drogba Awanyamazisha Arsenal.

Drogba akisherekea bao baada ya kufunga Arsenal, huyu ndiye kiboko wa "the gunners".
.
Chelsea leo imeishinda timu ya Arsenal bao 2-0 na mabao yote mawili yalifungwa na mshambuliaji Drogba katika kipindi cha kwanza. Matumaini ya ManU leo ilikuwa ni Chelsea ifungwe au watoke suluhu na Arsenal iliwabakie kuwa kinara katika msimamo wa ligi ya Uingereza. Matumaini hayo yalizimwa na Drogba mapema sana.

Mshambuliaji Drogba akitisa nyavu.

Hata Gallas na makeke yake yote alishindwa kumthiubiti Drogba.