Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

July 1, 2010

Jacob na Janeth wakiwa na wasimamizi wao wa harusi katika ukumbi wa Five Star.


Bwanaharusi Jacob akimrisha mmoja wa watoto ambao walikuwa wapambe wake katika harusi yake iliyofanyika june 26 mwaka huu.
Bibi Harusi Janeth akimlisha keke mtoto wakiume ambaye alikuwa ni miongoni mwa wapambe

Mzazi wa Jacob mzee Karugaba akiwasalimia wageni waalikwa waliohudhuria katika sherehe ya harusi ya mwanae.


Jacob na mkewe Janeth wakikabidhi zawadi yankeki kwa mwenyekiti wa Harusi na mkewe.