Miss Tedy akifurahia baada ya kafanikiwa kutumbukiza kete tatu kwa wakati mmoja haya yote ndani ya kijiji cha pool tandika Davis corner.
Miss Manka Mushi akijitahidi kusawazisha baada ya kufungwa 3 kwa 1 na Miss Jack hayupo pichani.
Miss edina Kimaro akishangaa kumuona mpinzania wake akimalizia kete na yeye za kwake zipo kibao .
.
Haya yote na mengine kibao yanapatikana ndani ya kijiji cha pool akizungumza baada ya mechi hizo mkurugenzi wa kijiji hicho, bwana Emmanuel Mwakabana amesema mashindano hayo huwa yanafanyika mara kwa mara na kwa timu zinazoshiriki ni mbalimbali na zinatoka wilaya zote na vitongoji vyake . Mwakabana amesema anapenda kuchukua afasi hii kuwaomba wapenzi na wachezaji ndani na nje ya temeke kuja ndani ya kijiji na kuukuza mchezo huu zaidi alisema mwakabana.
.
Alisisitiza zaidi kupata wadhamini zaidi na kuyaomba makampuni na mashirika mbalimbali yajitokeze na kudhamini mchezo huu “mchezo wa pool ni sawa na michezo mingine ambayo inapata sapoti kutoka serikalini na hata kwa mheshimiwa Rais sasa nachukua nafasi hii kuiomba wizara ya michezo kuangari kwa jicho la tatu mche huu “.
3 comments:
longchamp handbags
jordan retro
converse outlet
lebron james shoes
kyrie 3
goyard
golden goose
cheap jordans
supreme
retro jordans
replica bags reddit replica gucci i9b66m7r65 replica bags in pakistan anonymous g4k25o1m42 replica louis vuitton replica bags ru 7a replica bags wholesale hermes fake o6f95c3d44 replica bags china
retro jordans
off white shoes
off white hoodie
off white shoes
golden goose sneakers
supreme
yeezy shoes
golden goose
nike travis scott
golden goose
Post a Comment