Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

January 5, 2010

Hoteli ya Kwanza Hewani.

Hotel hii ina vyumba 18 vya hali ya juu, kila chumba kimekamilika kwa kila huduma ipatikanayo katika hoteli ya kifahari ya kawaida.
Jinsi Hoteli inavyoonekana hewani.

Mandhari ya vyumbani inavyoonekana kwa nje.

2 comments:

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Subiri mpaka hiyo helikopita ipate hitilafu ndiyo utauona utamu wa hii hoteli. Kazi kwelikweli!

Anonymous said...

april fools day materials. hakuna kitu hapo.