Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

January 5, 2010

Gerard Butler Kitambi Iha (Ku-maintain ni Ngumu).

Mcheza filamu maarufu Gerard Butler wa filamu iliyovuma ya 300 na akikumbukwa kwa jinsi alivyoku na mwili wa kimwana michezo, hivi sasa hafananii kabisa. NI miaka mitatu tu tangia aonekana kwenye filamu hiyo na kiriba tambi kimeanza kujitokeza.

No comments: