Wasafiri wakiwa katika stesheni ya Kigoma wakisubuli usafiri wafanyakazi wamegoma hadi wapewe malipo yao na kampuni iliyochaguliwa na serikali kuendesha shirika hilo.
Jamani wafanyakazi wa Reli ya kati wanananyanyasika sana kwa kuchelewaeshewa malipo yao ya mishahara. hadi wamefikia uamuzi wa kugoma kushinikiza walipwe stahili zao
No comments:
Post a Comment