
Kalunde band ikitumbuiza huko Giraffe Hotel katika karamu ya kumuaga CEO wa ICB bw Ramani.

Mkurugenzi mstaafu wa ICB akiongea na baadhi ya staff wa ICB.

ICB ya staff waki-dance kwa raha zao.

Chief Internal Auditor wa ICB Christine Mbonya akiwasili kwenye karamu hiyo.

Mkuu wa kitengo cha mikopo Bw Cleopa Muhanika akipata something kidogo.

2 comments:
Dear.
If you need profitable currency trading software and metatrader 4 tracing platfoirm oreex please
[b]Download[/b] here http://forexmarkt.us/user/dear.html
wapi fred mlay aka mulah
Post a Comment