Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

November 29, 2009

Bongo Dar es salaam Maeneo ya Kawe.

Ayaa mawindo yangu nitawanasa tu ngoja tuzuge zetu.

Mme wangu kalala mimi nakula kilaji na kufurahia muziki wa D' Banj, Dar ni raha kwenda mbele.

Wasanii wakiwa katika photo ya pamoja na Prof Jay.

Joe Makini na Nonino kabla ya kupanda jukwaani.

No comments: