
Mwanamuziki kutoka nchini kenya Paul Nunda aka Jua Kalii akiwa katika pozi na warembo waliohudhuria onyesho hilo.

Mwanamuziki C Pwaa akiwa na wenzake katika.

TID Top in Dar akiwa katika picha ya pamoja na warembo baada ya kumaliza kufanya shoo katika viwanja vya Tanganyika Packers iliyowashirikisha wasanii toka Kenya na Nigeria ,

Jua Cali kulia Akisalimina na mwanamuziki wa Nigeria D' Banj ya kuanza kufanya shoo.

TID akiwa na meneja wake katika viwanja vya Tanganyika Barkers wakati wa onyesho la DIBANJI lilioandaliwa na Kampuni ya Sigara kupitia kitengo cha STR8 MUZIKI FEASTIVEL.
No comments:
Post a Comment