
Wahitimu wa Stashahada ya juu ya Uhasibu katika chuo cha Biashara cha CBE Antilda Msakamba kushoto akigongeana cheers na mdogo wake Plasida Mbwasi baada ya kuhitimu katika mahafali ya 44 ya chuo hicho,kilichopo jijini Dar es Salaam.

Dada wa wahitimu wa stashahada ya Juu ya Uhasibu katika chuo cha Biashara cha CBE ,Prisila Bwasi akiwapa champaign wadogo zake Antilida Msakambwa na Plisida Msakambwa waibariki kabla ya kuifungua.

Antilida na Plisida wakiwa na nyuso za furaha.

Waziri wa Viwanda na Masoko Mery Nagu akitoa speech kwa wahitimu 2000 taaluma mbalimbali katika chuo cha Biashara cha Elimu ya Biashara CBE.
1 comment:
Hongereni sana wadongo zangu. Mkaitumie vyema elimu mliyopata kwa maendeleo yenu na ya nchi.
kaka Tolu
Uholanzi.
Post a Comment