Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Walioba akibadilishana mawazo na Jaji Bahati ambaye pia nayae ni mstaafu, wazee hawa wana paswa kuingwa na viongozi wengine wa nchi hii ya Tanzania.

Mimi ni Mnyenyekevu,Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Walioba akionyesha unyenyekevu wake kwa kila mtu ni vigumu kumuona kiongozi wa juu kama huyu akiongea na kila mtu.

Mke wa Jaji walioba mama walioba akiwa ameshikilia kiasi cha fedha shilingi Laki moja kwa ajiri ya kuchangia ujenzi wa ukumbi wa Kanisa la Mtakatifu Petro lililopo Oysterbey huku mme wake akimwangalia kwa tabasamu ya aina yake.

Mimi ni mkristu wa kweli ninasali st Albano lakini huwa sikosi katika shughuli zenu huwa namuunga mkono mama kwa sababu na yeye ananiunga mkono ninapokuwa kanisani mkwangu,Waziri Mstafu Joseph Walioba akiwa na Mkewe wakiteta jambo na mapadri wa kanisa la Mt.Petro baada ya kumalizika kwa chakula cha jioni kilicho andaliwa na Halmashauli ya Walei wa kanisa la Mtakatifu Petro kwa niaba ya kuitangaza kamati mpya itakayo simamia ujenzi wa ukumbiwa kisasa wa kanisda hilo.

Mwenyekiti wa Parokia ya Mtakatifu Petro Logatus Nzamba (ulia) akiwa na Mapadri wake Padri Haule ambaye ni Mkurugenzi wa Redio Tumania na TV Tuamani.
No comments:
Post a Comment