Kutokana na uchelewashwaji wa upimaji miji yetu ya TANZANIA ndivyo tunavyoelekea kuzalisha Manzese nyingine nyingi ,kutokana na watu kujenga ovyo bila kujari utaratibu ,Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Aridhi anayeshughulikia Taaluma ,Profesa Mangiseny Kaseva akiwa ofisini kwake akichapa kazi. (Picha kwa hisani ya Gazeti la Changamoto).

Jengo mojawapo linalotumika kama ofisi ya Chuo Kikuu cha Aridhi cha Dar es Salaam Tanzania .
No comments:
Post a Comment