Pages

November 10, 2009

Trafik Mtwara ni Rushwa Kwenda Mbele.

Tatizo la rushwa kwa askari wa jeshi la usalama barabarani ni la kila sehemu, askari hawa wa Mtwara wakiwa wamevamia kituo cha pikipiki zinazofanya biashara ya kusafirisha watu wakidai kuwa hazijasajiliwa. Mmoja wa madereva hao alisema trafiki hao wamegeuza sehemu za vituo vya pikipiki kama mradi wao. Siku hii jumla ya askari 4 walivamia eneo hilo na kila askari kuondoka amepanda pikipiki yake .

Jinsi askari wa trafik kulia alivyopanda kwenye pikipiki kama ambaye ni yake vile.

3 comments:

  1. miwundi kimo jusu kama li cundu kams da sundu

    ReplyDelete
  2. madevera dejundu piukipki tumbutunbu ferrari bonbmundo amepanda amena orange wanadoo yake jutsu .

    ReplyDelete