Pages

November 10, 2009

Kichuguu

Hii inaitwa kichuguu hutengenezwa na mchwa na baadaye huwa mlima kama huu.
Jinsi inavyoonekana kwa mbali, kichuguu hichi kipo katika barabara ya Morogoro kati ya Chalinze na Msolwa. Eneo hili linaonekana halina watoto watundu ndio maana kichuguu hichi kimefikia urefu huu.

No comments:

Post a Comment