Rais Jakaya Kikwete akiongozana na mmoja wa Viongozi wa Fifa katika uwanja wa Taifa kulipokea Kombe hilo, kulia ni Naibu Waziri wa Michezo na Utamaduni Joel Bendera.
Jakaya Kikwete akiwa amebeba Kombe la Dunia.
Mwanamuziki mashuhuri nchini AY akiwa katika pozi uwanja wa Taifa.
Rais Kikwete akiwa na Mwenyekiti wa IPP Reginad Mengi na viongozi wengine wa Coca Cola katika picha ya pamoja na Kombe hilo.
1 comment:
Anonymous
said...
ok, tumefurahi sana kwa hilo kombe la dunia.. lakini sisi watanzania LIMETUSAIDIA NINI? kitu gani ambacho mwananchi wa kawaida amenufaika nacho kutokana na huo ujio wa hilo kombe? SERIKALI ACHENI MAMBO YENU.. FANYENI MAMBO YA MSINGI YENYE TIJA KWA NCHI SIO KUUZIANA SURA TU.
1 comment:
ok, tumefurahi sana kwa hilo kombe la dunia..
lakini sisi watanzania LIMETUSAIDIA NINI?
kitu gani ambacho mwananchi wa kawaida amenufaika nacho kutokana na huo ujio wa hilo kombe?
SERIKALI ACHENI MAMBO YENU..
FANYENI MAMBO YA MSINGI YENYE TIJA KWA NCHI SIO KUUZIANA SURA TU.
Post a Comment