Shabiki wa kike akiwa hoi akisaidiwakupata upepo.

Watangazaji wa redio ya clouds wakipagawa na magoma ya mtu muzima Busta Rhymes

Theddy Mapunda meneja uhusiano wa seregeti ambaonduio waliodhanimi akimshangaa Rhymes pamoja na maafisa wenzake

Watangazaji wa Clouds wakisakata muzikikatika onyeshohilo

Kila mtu alihitajikumuona angalau kwa jicho moja tu
No comments:
Post a Comment