
Mkurugenzi wa Clouds Joseph Kusaga akiwa na Mwanamuziki Busta Rhymes.

Wapenzi wa muziki wa kisasa wakiwa katika halakati za kutaka kumwona Busta.

Busta na mwenzake Spilsfftarar wakiimba moja ya nyimbo yao.

Chid Benz pamoja na Camera akiimba samabamba na Rhymes.
No comments:
Post a Comment