
Wakaazi wengi wa Dar es salaam walidhani kuwa jengo litakuwa moja ya majengo marefu mjini (Tower), kumbe ni jengo tu la kawaida, "just another building".

Jengo hili la kawaida lipo katika sehemu nzuri sana jijini Dar es salaam, katika makutano ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi na barabara ya Kawawa.
Mimi nilidhani itakuwa ghorofa kama ishirini hivi kumbe tano tu basi heri ingebaki ile hoteli ya ambaseda tukawa tunaserebuka na njenje kila jumamosi.
ReplyDeleteMie nilidhani kutakuwa na shopping mall kama vile mlimani.
ReplyDelete