Waimbaji wa bendi ya Top band inayomilikiwa na Khalid Mohamed( Top in Dar) TID
wakiimba moja ya nyimbo zilizomo katika albamu ya Prison Voice wakati alipoizindua katika ukumbi wa Billcanas jijini Dar es Salaam, bendi hiyo itakuwa ikifanya onyesho kila siku ya Jumapili katika Ukumbi huo wenye maraha
No comments:
Post a Comment