Pages

October 7, 2009

Mwandosya Afafanua Juu ya Tetesi za Kuweka Sumu Katika Mto Ruvu.

Waziri wa maji na Umwagiliaji profesa Mark Mwandyosa akielezea tatizo lililojitokeza juu ya taarifa za uwekaji sumu katika vyanzo vya mto Ruvu juu leo wakati alipofanya mkutano na wandishi wa habari katika ukumbi wa maelezo.


Mmoja wa waandishi akimwuliza swali waziri wa maji na umwagiliaji profesa Mark Mwandyosa wakati wa mkutano na wandishi wa habari juu ya uwekaji wa suma katika mto Ruvu ambao ndio unaotoa maji yanayotumiwa na wakazi wa jiji la Dar es Salaam mikoa jirani,

No comments:

Post a Comment