
Afisa habari wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu (kushoto)akiteta jambo na mwandishi na mpigapicha wa maghazeti ya Dailynews na Habarileo Mroko Mroki katika hotel ya Giraffe wakati wa kuwakabidhi warembo wa Vodacom Miss Tanzania zawadi zao.

MKURUGENZI WA VODAFONE BARANI ULAYA NA AFRIKA BW.MORTEN LUNDAL WAKATI ALIPOTEMBELEA NCHINI TANZANIA KUJIONEA SHUGHURI ZINAZOFANYWA NA KAMPUNI YA VODACOM TANZANIA.
No comments:
Post a Comment