
Washiriki wa Bongo Star Search wakiimba kwa pamoja.

Hawa washiriki wa shindano la Bongo star Search ambao walifanikiwa kuingia katika Fainali kutoka kulia ni Kelven Mbatia kutoka Dar es Salaam, Paschal Cassian kutoka Mwanza, Jackson George kutoka Tanga na Beatrice William kutoka Mwanza, wakimsikiliza kwa makini Meneja Udhamini wa Vodacom hayupo pichani akitangaza zawadi za washindi ambapo mshindi wa kwanza atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 25, katika Fainali zitakazo fanyika oktoba 13 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaaam.
No comments:
Post a Comment