Welcome to pwaniraha blog please contribute by posting your comments on our blog, kindly note that abussive language is strictly not entertained. Thank you.
Welcome To Pwani Raha Blog; email us at "pwaniraha@gmail.com"

September 23, 2009

Warembo wa Miss Tanzania 2009 Wakiwa Hoteli ya Giraffe.

Warembo wanaowania umalkia wa Tanzania wakiwa katika ufukwe wa hoteli ya giraffe iliyopo Mbezi Beach ambapo wameweka kambi Ijumaa watakuwa na shoo katika hoteli hiyo. "Basi mabitozi na mapedezhe msiende maeneo haya waacheni washiriki wa-concentrate na shindano"

Kila mrembo hapa pichani anawaza kivyake lakini kubwa zaidi ni hilo gari walilolizunguka likiwatoa roho juu, haijulikani ni nani atalinyakua katika shindano litakalofanyika Oktoba katika ukumbi wa Mlimani City. Ili kuwaona warembo hao VIP itakuwa shiringi 100,000.na viti vya kawaida shilingi 50.000.

Washiriki wakitembelea moja ya eneo la Hoteli ya Giraffe iliyopo Mbezi Beach Dar es Salaam.