
Warembo wanaowania umalkia wa Tanzania wakiwa katika ufukwe wa hoteli ya giraffe iliyopo Mbezi Beach ambapo wameweka kambi Ijumaa watakuwa na shoo katika hoteli hiyo. "
Basi mabitozi na mapedezhe msiende maeneo haya waacheni washiriki wa-concentrate na shindano"
Kila mrembo hapa pichani anawaza kivyake lakini kubwa zaidi ni hilo gari walilolizunguka likiwatoa roho juu, haijulikani ni nani atalinyakua katika shindano litakalofanyika Oktoba katika ukumbi wa Mlimani City. Ili kuwaona warembo hao VIP itakuwa shiringi 100,000.na viti vya kawaida shilingi 50.000.
Washiriki wakitembelea moja ya eneo la Hoteli ya Giraffe iliyopo Mbezi Beach Dar es Salaam.
2 comments:
Mapede watakuwa maeneo tayari, hao mabitozi hawana vifaa, mtu pochi.
huaraches
bape hoodie
jordans
ultra boost
kd shoes
supreme hoodie
nike air max
hogan outlet
christian louboutin outlet
jordan shoes
Post a Comment