
Kuwasili kwa timu ya taifa ya vijana Serengeti boys leo asubuhi majira ya saa 3 na Shirika la Ndege la Kenya, baada yakuifunga wenyeji Sudan 2-0 na kufanikiwa kushika nafasi ya tatu nakutwaa medali ya shaba na usd 5000.

Waziri George Mkuchika akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na ushindi wa Serengeti Boys na ujio wao kwa ujumla.

Wachezaji wakiwa kwenye gari la wazi lilolotayarishwa na wadhaminiSerengeti Breweries Limited kupitia kinywaji chao cha Vita Malt plus.
No comments:
Post a Comment