
Mbunge wa viti maalum Engineer Stela Manyanya akiwa na Engineer Emmanual Kalobelo wakiwa katika mkutano wa Mainjinia uliofanyika kuanzia jana hadi leo katika ukumbi wa mkikutano wa Mlimani City.

Mwenyekiti wa chama cha Mainjinia Tanzania (ERB) Eng Ninatubu Lema akitoa speech wakati wa mkutano wa mainjinia uliofanyika kuanzia jana na unaendelea leo, mkitano huo ilizinduliwa na Mheshimiwa Celina Kambani.

Mainjinia wakiwa katika picha ya pamoja na Mheshimiwa Waziri Celina Kombani katika viwanja vya Mlimani City.

Meneja Mauzo wa Vodacom Julieth Bubelwa akiwaelekeza baadhi ya mainjinia waliohuzuria mkutano wa 7 wa mainjinia katika ukumbi wa Mlimani City namna ya kutumia huduma ya M-PESA wakati walipotembelea katika banda la Vodacom.
No comments:
Post a Comment